Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 10:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Je, shoka litajiinua juu ya mtu anayekata akilitumia, au msumeno kujitukuza juu ya mtu anayeusogeza mbele na nyuma, kana kwamba fimbo iliwasogeza mbele na nyuma wale wanaoiinua juu, kana kwamba fimbo ilimwinua juu yeye ambaye si mti?+

  • Isaya 14:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 yeye anayevipiga vikundi vya watu katika ghadhabu kwa mapigo bila kukoma,+ yeye anayeyatiisha mataifa katika hasira kali pamoja na mateso yasiyo na kizuizi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki