Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 13:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Na itatukia kwamba, kama swala aliyefukuzwa na kama kundi ambalo halina mtu wa kulikusanya pamoja,+ watageuka, kila mmoja kwenda kwa watu wake mwenyewe; nao watakimbia, kila mmoja kwenda katika nchi yake.+

  • Yeremia 50:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Mkatilieni mbali mpandaji wa mbegu kutoka Babiloni,+ na yule anayechukua mundu wakati wa mavuno. Kwa sababu ya upanga unaoonea kila mmoja atawageukia watu wake mwenyewe, na kila mmoja ataikimbilia nchi yake mwenyewe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki