Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 33:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Nchi imeomboleza, imenyauka.+ Mlima Lebanoni umefedheheshwa;+ umeoza. Sharoni+ imekuwa kama nchi tambarare ya jangwani; na Bashani na Karmeli inakung’uta majani yao.+

  • Yeremia 50:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Kwa hiyo wakaaji wa maeneo yasiyo na maji watakaa pamoja na wanyama wenye kupiga mayowe, na mbuni watakaa ndani yake;+ na ndani yake yeye hatakaliwa tena kamwe, wala yeye hatakaa mahali popote kwa kizazi baada ya kizazi.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki