Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 4:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Njia yako na matendo yako—wewe utalipwa hayo.+ Huu ndio msiba ulio juu yako, kwa maana ni mchungu; kwa sababu umefika mpaka moyoni mwako.”

  • Amosi 8:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nami nitazigeuza sherehe zenu ziwe maombolezo+ na nyimbo zenu zote ziwe nyimbo za huzuni. Nitatia nguo za magunia juu ya viuno vyote na juu ya kila kichwa nitatia upara.+ Nami nitafanya hali iwe kama kuombolezea mwana wa pekee,+ na matokeo yake ya mwisho kama siku yenye uchungu.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki