1 Wafalme 11:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Lakini sitauchukua ufalme wote kutoka mkononi mwake, kwa sababu nitamweka kuwa mkuu siku zote za maisha yake, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu niliyemchagua,+ kwa sababu alizishika amri zangu na sheria zangu.
34 Lakini sitauchukua ufalme wote kutoka mkononi mwake, kwa sababu nitamweka kuwa mkuu siku zote za maisha yake, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu niliyemchagua,+ kwa sababu alizishika amri zangu na sheria zangu.