1 Wafalme 11:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Lakini sitauchukua ufalme wote kutoka mikononi mwake, nami nitamwacha aendelee kuwa mkuu sikuzote za maisha yake, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu niliyemchagua,+ kwa sababu alitii amri zangu na sheria zangu.
34 Lakini sitauchukua ufalme wote kutoka mikononi mwake, nami nitamwacha aendelee kuwa mkuu sikuzote za maisha yake, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu niliyemchagua,+ kwa sababu alitii amri zangu na sheria zangu.