Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 23:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “Chukua kinubi, lizunguke jiji, Ee kahaba uliyesahauliwa.+ Fanya kila unaloweza kupiga vinanda; fanya nyimbo zako ziwe nyingi, ili upate kukumbukwa.”

  • Isaya 24:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Furaha ya matari imekoma, kelele za waliosisimuka sana zimekoma, furaha ya kinubi imekoma.+

  • Ufunuo 18:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Na sauti ya waimbaji ambao hufuatanisha sauti zao kwa kinubi na ya wanamuziki na ya wapiga-filimbi na ya wapiga-tarumbeta haitasikiwa tena kamwe ndani yako,+ na hakuna fundi wa kazi yoyote atakayepatikana ndani yako tena kamwe, na hakuna sauti ya jiwe la kusagia itakayosikiwa tena kamwe ndani yako,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki