Ezekieli 32:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 “ ‘Mesheki+ na Tubali+ na umati wake wote wako huko. Makaburi yake yanamzunguka pande zote. Hao wote hawajatahiriwa, wakiwa wamechomwa kwa upanga, kwa sababu wamesababisha hofu yao katika nchi ya wale walio hai.
26 “ ‘Mesheki+ na Tubali+ na umati wake wote wako huko. Makaburi yake yanamzunguka pande zote. Hao wote hawajatahiriwa, wakiwa wamechomwa kwa upanga, kwa sababu wamesababisha hofu yao katika nchi ya wale walio hai.