-
Ezekieli 40:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Na ukumbi wake ulielekea ua wa nje, na maumbo ya mitende yalikuwa kwenye nguzo zake za kando upande huu na upande ule. Na mpando wake ulikuwa vipandio vinane.
-