Ezekieli 40:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Naye akanileta hatua kwa hatua upande wa kusini,+ na, tazama! kulikuwa na lango upande wa kusini, naye akapima nguzo zake za kando na ukumbi wake kwa vipimo sawa na hivi.
24 Naye akanileta hatua kwa hatua upande wa kusini,+ na, tazama! kulikuwa na lango upande wa kusini, naye akapima nguzo zake za kando na ukumbi wake kwa vipimo sawa na hivi.