Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 46:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Na watu wa nchi hiyo wanapoingia ndani mbele za Yehova katika majira ya sherehe,+ yeye anayeingia kupitia njia ya lango la kaskazini+ ili kuinama atatoka nje kupitia njia ya lango la kusini;+ na yule anayeingia kupitia njia ya lango la kusini atatoka nje kupitia njia ya lango la kaskazini. Mtu yeyote asirudi kupitia njia ya lango aliloingilia, kwa maana anapaswa kutoka nje moja kwa moja mbele yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki