2 Wakorintho 12:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Namjua mtu mmoja katika muungano na Kristo ambaye, miaka kumi na minne iliyopita—kama ni katika mwili sijui, au ni nje ya mwili sijui; Mungu anajua—alinyakuliwa+ akiwa hivyo mpaka kwenye mbingu ya tatu.
2 Namjua mtu mmoja katika muungano na Kristo ambaye, miaka kumi na minne iliyopita—kama ni katika mwili sijui, au ni nje ya mwili sijui; Mungu anajua—alinyakuliwa+ akiwa hivyo mpaka kwenye mbingu ya tatu.