-
2 Wakorintho 12:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Ninamjua mtu fulani katika muungano na Kristo, ambaye miaka 14 iliyopita—kama ni katika mwili au nje ya mwili, sijui; Mungu anajua—alinyakuliwa mpaka kwenye mbingu ya tatu.
-
-
2 Wakorintho 12:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Najua mtu mmoja katika muungano na Kristo ambaye, miaka kumi na minne iliyopita—kama ni katika mwili sijui, au nje ya mwili sijui; Mungu ajua—alinyakuliwa akiwa wa namna hiyo hadi kwenye mbingu ya tatu.
-