-
2 Wakorintho 12:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Ninamjua mtu fulani katika muungano na Kristo, ambaye miaka 14 iliyopita—kama ni katika mwili au nje ya mwili, sijui; Mungu anajua—alinyakuliwa mpaka kwenye mbingu ya tatu.
-