Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 8:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Naye akaniambia: “Mwana wa binadamu, tafadhali inua macho yako kuelekea upande wa kaskazini.” Kwa hiyo nikayainua macho yangu kuelekea upande wa kaskazini, na, tazama! kaskazini mwa lango la madhabahu kulikuwa na mfano huu wa wivu+ katika njia ya kuingilia.

  • Ezekieli 37:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Naye akaanza kuniambia: “Mwana wa binadamu, je, mifupa hii inaweza kuwa hai?” Nikajibu: “Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova, wewe mwenyewe unajua vema.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki