Danieli 6:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Alipolikaribia lile shimo, akampaazia Danieli sauti kwa huzuni. Mfalme akasema kwa sauti na kumwambia Danieli: “Ee Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai, je, Mungu wako unayemtumikia daima+ amekuokoa kutoka kwa hao simba?”+
20 Alipolikaribia lile shimo, akampaazia Danieli sauti kwa huzuni. Mfalme akasema kwa sauti na kumwambia Danieli: “Ee Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai, je, Mungu wako unayemtumikia daima+ amekuokoa kutoka kwa hao simba?”+