Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 12:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ndipo mmoja akamwambia yule mtu aliyevaa kitani,+ aliyekuwa juu ya maji ya ule mto: “Itakuwa muda gani kufikia mwisho wa mambo hayo ya ajabu?”+

  • Ufunuo 19:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ndiyo, amepewa ruhusa ya kupambwa kitani bora, changavu, safi, kwa maana hicho kitani bora humaanisha matendo ya uadilifu ya watakatifu.”+

  • Ufunuo 19:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Pia, majeshi yaliyokuwa mbinguni yalikuwa yakimfuata juu ya farasi weupe, nayo yalikuwa yamevikwa kitani bora cheupe, safi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki