Mwanzo 14:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Ndipo mfalme wa Sodoma akapiga mwendo, na pia mfalme wa Gomora na mfalme wa Adma na mfalme wa Seboiimu na mfalme wa Bela (yaani, Soari), nao wakajipanga kivita wapigane nao katika Nchi Tambarare ya Chini ya Sidimu,+
8 Ndipo mfalme wa Sodoma akapiga mwendo, na pia mfalme wa Gomora na mfalme wa Adma na mfalme wa Seboiimu na mfalme wa Bela (yaani, Soari), nao wakajipanga kivita wapigane nao katika Nchi Tambarare ya Chini ya Sidimu,+