Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 30:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ulizeni, tafadhali, na mwone ikiwa mwanamume anajifungua mtoto. Kwa nini nimemwona kila mwanamume akiweka mikono juu ya viuno vyake kama mwanamke anayejifungua mtoto,+ na nyuso zote zimegeuka rangi?+

  • Mika 4:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Basi ni kwa nini unaendelea kupiga kelele?+ Je, hamna mfalme ndani yako, au je, mshauri wako mwenyewe ameangamizwa, hata maumivu kama yale ya mwanamke anayezaa yakakushika?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki