-
Mambo ya Walawi 2:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Nawe utaleta kwa Yehova toleo hilo la nafaka lililofanywa kwa vitu hivyo; nalo litatolewa kwa kuhani naye atalileta karibu na madhabahu.
-