Mwanzo 37:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Basi Yakobo akararua nguo zake za kujitanda, akavaa nguo za magunia viunoni mwake, akamwombolezea mwana wake siku nyingi.+ 2 Samweli 1:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ndipo Daudi akashika mavazi yake akayararua,+ na pia watu wote waliokuwa pamoja naye wakafanya hivyo.
34 Basi Yakobo akararua nguo zake za kujitanda, akavaa nguo za magunia viunoni mwake, akamwombolezea mwana wake siku nyingi.+
11 Ndipo Daudi akashika mavazi yake akayararua,+ na pia watu wote waliokuwa pamoja naye wakafanya hivyo.