Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 9:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Kwa maana kifo kimekuja kupitia madirisha yetu; kimeingia ndani ya minara ya makao yetu, ili kumkatilia mbali mtoto kutoka barabarani, vijana kutoka katika viwanja vya watu wote.’+

  • Amosi 6:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na ndugu ya baba yake atawachukua mmoja mmoja, naye atawachoma moto mmoja mmoja, ili kuiondoa mifupa ndani ya nyumba.+ Naye atamwambia yeyote yule aliye katika sehemu za ndani kabisa za nyumba, ‘Je, bado una wengine zaidi?’ Naye atalazimika kusema, ‘Hamna mtu!’ Naye atalazimika kusema, ‘Nyamaza kimya! Kwa maana huu si wakati wa kutaja kwa vyovyote jina la Yehova.’ ”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki