Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 75:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Kwa maana kuna kikombe mkononi mwa Yehova,+

      Kimejaa mchanganyiko, nayo divai inatoa povu.

      Na hakika kutoka hicho yeye atayamwaga machicha yake;

      Waovu wote wa dunia watayakamua, na kunywa.”+

  • Zekaria 14:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “Na itatukia katika siku hiyo kwamba mvurugo kutoka kwa Yehova utaenea katikati yao;+ na kila mmoja wao ataukamata mkono wa mwenzake, na mkono wake utainuka juu ya mkono wa mwenzake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki