Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoeli 1:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kilichoachwa na kiwavi, nzige amekula;+ kilichoachwa na nzige, nzige mchanga amekula; kilichoachwa na nzige mchanga, mende amekula.+

  • Amosi 4:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “ ‘Niliwapiga ninyi kwa kuunguza na kwa ukungu.+ Bustani zenu na mashamba yenu ya matunda mliongeza, lakini mitini yenu na mizeituni yenu ililiwa na kiwavi;+ hata hivyo hamkurudi kwangu,’+ asema Yehova.

  • Amosi 7:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova alinifanya nione, na, tazama! alikuwa akifanyiza kundi la nzige mwanzoni mwa kuota kwa mimea iliyopandwa baadaye.+ Na, tazama! ilikuwa mimea iliyopandwa baadaye baada ya majani yaliyofyekwa ya mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki