Luka 11:46 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 46 Ndipo akasema: “Ole wenu pia ninyi mlio na ujuzi mwingi wa Sheria, kwa sababu ninyi huwatwika watu mizigo iliyo mizito kubebwa, lakini ninyi wenyewe hamwigusi mizigo hiyo kwa kimoja cha vidole vyenu!+
46 Ndipo akasema: “Ole wenu pia ninyi mlio na ujuzi mwingi wa Sheria, kwa sababu ninyi huwatwika watu mizigo iliyo mizito kubebwa, lakini ninyi wenyewe hamwigusi mizigo hiyo kwa kimoja cha vidole vyenu!+