-
Luka 11:46Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
46 Ndipo akasema: “Ole wenu pia nyinyi mlio na ujuzi mwingi katika Sheria, kwa sababu nyinyi hutwika watu mizigo iliyo migumu kuhimiliwa, lakini nyinyi wenyewe hamgusi hiyo mizigo kwa kimoja cha vidole vyenu!
-