-
Yohana 10:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Yesu akawajibu: “Niliwaonyesha kazi nyingi nzuri kutoka kwa Baba. Kati ya kazi hizo mnataka kunipiga kwa mawe kwa sababu ya kazi gani?”
-