Marko 5:40 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 40 Ndipo wakaanza kumcheka kwa dharau. Lakini, akiisha kuwatoa nje wote, akamchukua baba na mama ya huyo mtoto mchanga na walio pamoja naye, naye akaingia mahali alipokuwa mtoto huyo.+
40 Ndipo wakaanza kumcheka kwa dharau. Lakini, akiisha kuwatoa nje wote, akamchukua baba na mama ya huyo mtoto mchanga na walio pamoja naye, naye akaingia mahali alipokuwa mtoto huyo.+