Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 6:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Naye akawaambia: “Njooni, ninyi wenyewe, faraghani katika mahali pasipo na watu+ mpumzike kidogo.”+ Kwa maana watu walikuwa wakija na kwenda, nao hawakuwa hata na wakati wa kula mlo.+

  • Luka 9:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na mitume waliporudi wakamsimulia mambo waliyokuwa wameyafanya.+ Ndipo akawachukua waambatane naye, nao wakaondoka kwenda faraghani+ na kuingia katika jiji linaloitwa Bethsaida.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki