-
Marko 6:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Naye akawaambia: “Njoni, nyinyi wenyewe, kwa faragha mwingie katika mahali pa upweke mpumzike kidogo.” Kwa maana kulikuwa na wengi wakija na kwenda, nao hawakuwa hata na wasaa wa kula mlo.
-