-
Mathayo 13:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Ndipo baada ya kuuruhusu umati uende akaingia ndani ya nyumba. Na wanafunzi wake wakamjia na kusema: “Tueleze ule mfano wa magugu katika shamba.”
-