15 Sasa wakafika Yerusalemu. Huko akaingia katika hekalu akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, naye akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadili pesa na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa;+
15 Kwa hiyo, baada ya kufanya mjeledi wa kamba, akawafukuza hekaluni wale wote wenye kondoo na ng’ombe, akamwaga sarafu za waliokuwa wakibadili pesa na kupindua meza zao.+