12 Na Yesu akaingia katika hekalu na kuwafukuza wale wote waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, na kuzipindua meza za wale waliokuwa wakibadili pesa na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa.+
15 Sasa wakafika Yerusalemu. Huko akaingia katika hekalu akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, naye akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadili pesa na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa;+