Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Lakini wachungaji wakakimbia, wakaenda jijini, na kutoa habari juu ya kila kitu, pamoja na ile habari ya wale watu walioingiwa na roho waovu.

  • Luka 8:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Ndipo watu wakatokea ili kuona lililokuwa limetukia, nao wakamjia Yesu, wakamkuta yule mtu aliyetokwa na wale roho waovu, akiwa amevaa nguo na akiwa na akili zake timamu, ameketi miguuni pa Yesu; nao wakaogopa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki