-
Marko 5:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kwa hiyo wakamjia Yesu, nao wakamwona yule mtu aliyekuwa na roho waovu akiwa ameketi amevaa nguo na akiwa na akili yake timamu, mtu yule aliyekuwa na kile kikosi; nao wakaogopa.
-