-
Marko 5:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Basi wakamjia Yesu, wakamwona yule mtu aliyekuwa na roho waovu, ambaye mwanzoni alikuwa na kile kikosi, akiwa ameketi, amevaa nguo, na akiwa na akili timamu, nao wakaogopa.
-
-
Marko 5:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa hiyo wakamjia Yesu, nao wakamwona yule mtu aliyepagawa na roho waovu akiwa ameketi amevishwa na akiwa na akili yake timamu, mtu yule aliyekuwa amekuwa na lile lejioni; nao wakawa wenye hofu.
-