Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 4:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Na habari juu yake ikaenea katika Siria+ yote; nao wakamletea wote waliokuwa na hali mbaya,+ waliokuwa wakitaabishwa na magonjwa na kuteswa kwa namna mbalimbali, wenye roho waovu na wenye kifafa+ na watu waliopooza, naye akawaponya.

  • Luka 4:40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 Lakini jua lilipokuwa likitua, wale wote waliokuwa na watu wanaougua magonjwa mbalimbali wakawaleta kwake. Akawa akiwaponya kwa kuweka mikono yake juu ya kila mmoja wao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki