Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Lakini ilipofika jioni, watu walimletea watu wengi walioingiwa na roho waovu; naye akawafukuza hao roho kwa neno moja, naye akawaponya wote waliokuwa na hali mbaya;

  • Marko 1:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Baada ya kuwa jioni, wakati jua lilipokuwa limetua, watu wakaanza kumletea watu wote waliokuwa wagonjwa+ na waliokuwa na roho waovu;+

  • Matendo 28:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Baada ya jambo hilo kutukia, watu wale wengine kisiwani waliokuwa na magonjwa wakaanza pia kuja kwake na kuponywa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki