Marko 1:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Na yule roho mchafu, baada ya kumfanya agaegae na kupiga kelele kwa sauti kubwa, akamtoka.+ Luka 9:42 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 42 Lakini hata alipokuwa akikaribia, yule roho mwovu akamwangusha chini na kumfanya agaegae kwa nguvu nyingi. Hata hivyo, Yesu akamkemea yule roho mchafu na kumponya mvulana naye akamkabidhi baba yake.+
42 Lakini hata alipokuwa akikaribia, yule roho mwovu akamwangusha chini na kumfanya agaegae kwa nguvu nyingi. Hata hivyo, Yesu akamkemea yule roho mchafu na kumponya mvulana naye akamkabidhi baba yake.+