-
Luka 9:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Lakini alipokuwa akikaribia, yule roho mwovu akamwangusha na kumfanya agaegae sana. Hata hivyo, Yesu akamkemea yule roho mwovu na kumponya mvulana huyo, kisha akamkabidhi kwa baba yake.
-
-
Luka 9:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Lakini hata alipokuwa akikaribia, yule roho mwovu akambwaga kwenye ardhi na kumfurukutisha kwa nguvu nyingi. Hata hivyo, Yesu akamkemea yule roho asiye safi na kumponya mvulana naye akamkabidhi kwa baba yake.
-