-
Luka 9:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Lakini hata alipokuwa akikaribia, yule roho mwovu akambwaga kwenye ardhi na kumfurukutisha kwa nguvu nyingi. Hata hivyo, Yesu akamkemea yule roho asiye safi na kumponya mvulana naye akamkabidhi kwa baba yake.
-