32 Sasa walikuwa barabarani, wakipanda kwenda Yerusalemu, na Yesu alikuwa akienda mbele yao, nao wakashangaa; lakini wale waliofuata wakaanza kuogopa. Mara nyingine tena akawachukua wale kumi na wawili kando na kuanza kuwaambia mambo haya yatakayompata:+