-
Marko 10:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Sasa walikuwa wakisonga mbele barabarani kupanda kwenda Yerusalemu, na Yesu alikuwa akienda mbele yao, nao wakaona mshangao; lakini wale waliofuata wakaanza kuhofu. Mara nyingine tena akachukua wale kumi na wawili kando na kuanza kuwaambia mambo haya yaliyokusudiwa kumpata:
-