Mathayo 26:40 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 40 Naye akaja walipokuwa wanafunzi na kuwakuta wamelala usingizi, naye akamwambia Petro: “Je, hamngeweza kukesha hata saa moja pamoja nami?+ Marko 14:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 Naye akaja akawakuta wamelala usingizi, naye akamwambia Petro: “Simoni, unalala usingizi? Hukuwa na nguvu za kuendelea kukesha kwa saa moja?+
40 Naye akaja walipokuwa wanafunzi na kuwakuta wamelala usingizi, naye akamwambia Petro: “Je, hamngeweza kukesha hata saa moja pamoja nami?+
37 Naye akaja akawakuta wamelala usingizi, naye akamwambia Petro: “Simoni, unalala usingizi? Hukuwa na nguvu za kuendelea kukesha kwa saa moja?+