-
Luka 22:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Ndipo akawaambia: “Lakini sasa acheni yule ambaye ana mkoba auchukue, vivyo hivyo pia mfuko wa chakula; na acheni yule asiye na upanga auze vazi lake la nje na kununua mmoja.
-