Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:73
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 73 Baada ya muda kidogo wale waliokuwa wamesimama kuzunguka wakaja na kumwambia Petro: “Hakika wewe pia ni mmoja wao, kwa maana, kwa kweli, matamshi yako yanakutambulisha wazi.”+

  • Marko 14:70
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 70 Tena akawa akikana hilo. Na mara nyingine tena baada ya muda kidogo wale waliosimama kando wakaanza kumwambia Petro: “Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana, kwa kweli, wewe ni Mgalilaya.”+

  • Yohana 18:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Mmoja wa watumwa wa kuhani mkuu, akiwa ni jamaa ya mtu ambaye Petro alikata sikio lake,+ akasema: “Mimi nilikuona katika bustani pamoja naye, sivyo?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki