Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Asubuhi ilipofika, wakuu wote wa makuhani na wanaume wazee wa watu wakashauriana juu ya Yesu ili auawe.+

  • Marko 15:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na mara tu kulipopambazuka wakuu wa makuhani pamoja na wanaume wazee na waandishi, hata Sanhedrini yote, wakashauriana,+ nao wakamfunga Yesu, wakampeleka na kumtia mikononi mwa Pilato.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki