-
Marko 15:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Na mara hiyo kwenye pambazuko makuhani wakuu pamoja na wanaume wazee na waandishi, hata Sanhedrini yote, wakaendesha ushauriano, nao wakamfunga Yesu na kumwongoza na kumkabidhi kwa Pilato.
-