Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 6:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kwa sababu hiyo wakati unapotoa zawadi za rehema,+ usipige tarumbeta+ mbele yako, kama vile wanafiki wanavyofanya katika masinagogi na barabarani, ili watukuzwe na watu. Kwa kweli ninawaambia ninyi, Wanapata thawabu yao kwa ukamili.

  • Luka 16:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Lakini Abrahamu akasema, ‘Mwanangu, kumbuka kwamba ulipokea kwa ukamili vitu vyako vyema katika maisha yako, lakini Lazaro alipokea mabaya. Hata hivyo, sasa anapata faraja hapa lakini wewe umo katika maumivu makali.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki