Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 17:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Bwana, uwe na rehema juu ya mwanangu, kwa sababu ana kifafa na ni mgonjwa, kwa maana yeye huanguka ndani ya moto na ndani ya maji mara nyingi;+

  • Marko 9:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na mmoja kutoka katika ule umati akamjibu: “Mwalimu, nilileta mwanangu kwako kwa sababu ana roho bubu;+

  • Luka 7:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Alipokaribia lango la jiji, kumbe! tazama! kulikuwa na mfu+ akiwa anapelekwa nje, mwana mzaliwa-pekee+ wa mama yake. Mbali na hilo, alikuwa ni mjane. Pia umati mkubwa kutoka jijini ulikuwa pamoja naye.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki